ONEUP MAFUTA YA KUPAKA ni mafuta mazuri kwa ngozi kavu na ya mafuta ,mafuta haya huondoa harara,upele na kutibu magonjwa ya ngozi pia inarejesha ngozi kwenye hali yake nzuri ya kupendeza na yanalainisha ngozi ngumu,mafuta haya yanapatikana kwa sh.6000 tu.
Comments
Post a Comment