ONEUP MULTPURPOSE LIQUID SOAP
ONEUP PRODUCT ni bidhaa bora inayotengenezwa kwa material bora yanayopatikana hapa Tanzania, ONEUP MULTPURPOSE LIQUID SOAP inatumika kama ifuatavyo;Kufulia nguo yeyote ile,Kudekia na kuoshea vyombo pia sabuni hii ina harufu nzuri na haiachi harufu katika vyombo pia ina povu inayokusaidia wakati wa kufua na kudekia na kuondoa mafuta katika vyombo, Kubwa kuliko bidhaa za ONEUP zina baraka ya utele kwenye maisha ya mtumiaji,jipatie bidhaa hii kwa sh.10000 lita 5 na sh.2000 lita 1 bei zetu ni rafiki kwa kila mtanzania.


Comments
Post a Comment